Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!


Mwambie ukweli ukweli kwamba htaki michongo yake, thats all
 
Usije msaliti rafiki yako endelea na msimamo wako, ukiona anakusumbusua sana mwambie utamwambia mumewe(rafiki yako)
 
Vipi ulimla?
 
Hapo Hakuna heshima tena...
Unashindwa nini kumwambia kuwa HAPANA na HAIWEZEKANI HATA KIDOGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…