"...mke wa mtu aliyeniota LIVE.."

mfano mimi mwenyewe ktk kazi zangu za umc hupata ushawishi zaidi ya huo!wakati mwingine mwanamke anaku-approach kabisa!huwa namuambia mwanamke"mimi ni mc,kila weekend nakutana na warembo,kama kila anayependa kuwa nami ningemkubalia leo hii usingenikuta hai".basi mwanamke akitafakari hayo mwenyewe anatulia,na anaenda kuwaambia wenzake!na sifa za uadilifu zinasambaa,unajikuta husumbuliwi tena kwa vile jamii inakutambua wewe ni mwadilifu!
 

Asante mkuu!
 
Nadhani kubadilisha laini siyo suluhisho la kutatua tatizo, kinachotakiwa nikumueleza ukweli...
 

Nimekusoma MC
 
SI umenipa tricky nzuri sana.
Nikikutana na Simba, nafumba macho nisimwone.

Vere ize.
 

Ushauri mzuri huu mkuu!
 
Unatumia nguvu kubwa mno.... Sasa ndio nimeelewa kua you are in Love with her na washindwa mtoa akilini na somehow wamlaumu yeye kwa kukuweka hali hio.... Pole saana SI. Mapenzi hayana ADABU....

umeona jinsi mapenzi yasivyo na respect.mwenzetu yanamtesa.
 
HONGERA
ni vema na huyo mpenzio umweleze mapema na ukweli sidhani kama atakasirika kama nimuelewa atakupongeza pia
 
Yaani ubadili namba yako kisa tu mke wa mtu kakutaka, ama kweli duniani kuna mambo, kwa nn tu usijiamini na kumwambia huku unamwangalia usoni kwa sura ya kijasiri kwamba hupendi mahusiano hayo hatarishi, sasa umebadili simu, akitokea mwingine tena akakutamani utabadili simu pia,TAFAKARI
 
Yaani yuko kwenye mateso kama yangu. Navyokupendaga wewe shemeji yangu we acha tu. Ila line ya simu sikubadilishii :lol:

Teh teh! Man of ze year ameamua kufungua jalada la moyo wake nae! Kha!
 
Siwezi hata kuzima cm yangu kisa namkimbia mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…