mh! mambo haya bwn, umesema alipokuuliza kuhusu kumwoa hukuwa tayari kwa madai kuwa ulikuwa bado masomoni, na uliporudi likizo bado ukamvunjia heshima mmewe kiasi hicho, na leo unatueleza wazi huo upuuzi, napinga usemi wa mchuma janga hula na kwao, kwa hili kula tu mwenyewe na ujue tu mla kuku wa mwenzie miguu humwelekea, na pia mla hulliwa
ni dhahili ulikuwa humpendi huyu dada ulozaa naye ndo maana baada ya kuwa ameolewa na wewe ukaoa, tena kumbuka huyo mmewe anakufahamu sana tu kwani yaonesha ni jirani kabisa.
pole zako!