Mke wa mtu ananipenda nifanye nn na ananitishia maisha

Asikufisidi bure achana nae hiyo yake imesha kwende KM/ zakutosha asikuwangie mtu mzima ovyo....
 
muulize waziri wenu wa sheria hapo chuoni kwenu nini cha kufanya, ikishindikana kamchukulie RB.
 
Yale yale niliyosema hapa,pole dogo!
 

umeona eeh,hii ni story ya kupikwa,dogo jipange upya,usituletee uongo hapa ban..
 
Hiyo ni mikwara tu endelea kuwa na msimamo wako halafu songa mbele kama kawa.
 
With your university level! ..................... unashindwa kumpa majibu? kuna uwezekano ulimjengea mazingira mwenyewe and what you want from here is justification of your intention!!!!!!!!!!!
 
nime waelewa jama sasa goja nitawapa majibu imekuwaje then kwa yule aliyeuliza umri wangu nina 22 na nipo mwaka wa kwanza all in all thanx Bandungu
 
ebu waza twice bhana unaniangusha,we mtu wa chuo kikuu huwezi kushindwa mtihani huo ndogo
 
Angekuwa mkeo anapendwa na njemba kama wewe ungefanya nini? Unaweza kufanya lolote leo ila kama litakuwa kinyume atafanyiwa mkeo amini usiamini.
 
uko hapo chuo kusoma, achana na mambo ya wanawake hasa hiyo mijitu uzima..atakuharibia tu maisha yako, maza nae mtu mzima ovyoo tu badala ya kusoma na kufikiria familia yake inaweza penzi tu na vijana :frusty:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…