mke wa mtu ananipenda

we mle tu then u wait mumewe ajue ukutumie minjemba ya mogadishu ije ikubake. Ndio uje tena usimulie hapa Jf
 
Mimi nadhani umepata ushauri wa kukutosha sana. Umeona trend ya mawazo ya watu ikoje. wewe ukitembea na mke/mume wa mtu, basi uwe tayari ku face consequnces, na wala usipoteze muda wako kuja hapa kutafuta ushauri!
 
ni nini mbaya na wake za watu siku hizi? mbona wanawataka taka sana wakak wa watu...
 
hahaha hawa dada zetu wana maana.....mtu ana pete na anakutongoza macho makavu
 
Huyo kicheche hata wewe ukisafiri ataenda kwa mwingine na kumtamkia hivyo hivyo, wapo madem wengi sana wanatabia hiyo....oo mume wangu kasafiri...ooo mume wangu ana bi mdogo....ooo mume wangu hawezi mechi..! be carefull man .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…