Mke wa mtu ananitaka

Story zingne za kijiweni ngekuwa staff wa Jf kuna nyuzi zingeishia mikononi mwako
 

Wewe hautaoa mkuu?
 
Duuuuh! Aiseeeee. Dunia inazunguka hii kuelekea anguko lake.

Wakati wengine wanatia bidii kumwabudu muumba wao na kuachana na madhambi.

Wengine nao wanajisifu kuhusu uzinzi na ufiraji.
 
Miaka ya nyuma 2010s boss mmoja wa ofisi niliyokuwa nafanyia kazi alikuwa anakula dada mmoja tunaefanya Kaz ofisi moja mke wa askari magereza, baadae mume wake na yule dada akastukia na akamjua yule boss. Alichofanya alimpiga sana mkewe huko nyumban akuchukua simu za mkewe. Tulikuwa na group la Whatsapp la ofisi, jamaa akarekodi voice note akaingia kwenye group la ofisi akatuma Ile voice note kupitia simu ya mkewe. Kwenye Ile voice note jamaa alikuwa anamtaja kwa jina yule boss akiseme "wewe unatembea na mke wangu unasababisha amani inakosekana ndani ya nyumba yangu sasa nitakachokufanya nitachukua bunduki kazini nitakuja kukuua hapo hapo ofisini kwenu halafu namimi nitajiua. Unamt*mba mkewangu unampigia simu usiku tukiwa tumelala kisa wewe ni boss wake sasa nakwambia tutaona. Nakuapia kwa jina la mama yangu nitakuja kukuua"
Baada ya siku mbili tatu yule dada akaja ofisini lakin alikuwa Hana meno yote ya mbele. Haikuzidi wiki yule boss akahamishiwa mkoa mwengine mbali kwa usalama wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…