Mke wa Mtu ananitaka

Mwambie awe anakutumia sms badala ya kukupigia, kwani ofisi yenu hairuhusu kupokea simu mara kwa mara ukiwa ofisini, halafu wewe mchunie usijibu sms zake, akija "kulibumbulua" hizo sms zake ndio utakuwa ushahidi wako.
 
[video]http://www.eastafricantube.com/media/10191/Ze_comedy_-mke_wa_mtu_ni_sumu/[/video]
Mkuu balntanda umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo alhamisi jioni kukiwa na foleni natamani ningekua na TV kwenye gari
 
mwambie una ukimwi ! (SIDE EFFECT: atakupakazia mtaani)
 
Una miaka mingapi ?
Hukufunzwa namna ya kukabiliana na changamoto za maisha?
 
Mwambie awe anakutumia sms badala ya kukupigia, kwani ofisi yenu hairuhusu kupokea simu mara kwa mara ukiwa ofisini, halafu wewe mchunie usijibu sms zake, akija "kulibumbulua" hizo sms zake ndio utakuwa ushahidi wako.
Mazee!
Wamfunza mwenzio "BLACKMAILING FOR BEGINNERS"!
 
Kama ni kum-block namba yake ya simu ili asipige/sms ingia OVI storehttps://store.ovi.com kuna software za bei ndogo tu..... lakini unatakiwa uwe na simu ya nokia.
Vinginevyo ungea nae ukuwa serious na umweleze ukweli....

Karibu handset zote zina hiyo functionality - block or add a number to reject!
 
type hiyo nilikwisha kutana nazo nikiwa bachelor na hata baada ya kuoa. Kwa uzoefu wangu, fanya yafuatayo: 1. usiwe na muda wa kuongea naye - salamu inatosha; 2. akitaka kuongeza muda wa maongezi na mada zake, wewe mwambie huko busy; 3. kuhusu kununua beer, mwambi glabal financial crisis ime-hit hata kwenye wallet yako hata kama kila siku unachana kuku! 4. mara manapoongea naye, sifia mkeo tu, halafu ongelea kuhusu ndoa yako na kuchukia kwenda nje ya ndoa - kama wewe ni mkristu - ongelea dhambi na mambo ya Mbingu; 5. mwambie mkeo kuhusu jambo hilo mara moja na mkeo ndiye akamnunulie hizo bia; 6. ukikaa kimya na usi-service hiyo joint yake, atakuzushia tu na itakula kwako; 7. usitoke nje bila shati wala t-shirt, kwani yeye anaweza dhani wewe ni mchokozi; 8. acha kutaniana naye kabisa; 9. kama unaishi nyumba ya kupanga - ndivyo inavyoonyesha, pigana na maisha uwe na kibanda chako au hama huko! 10. kama anaazima vitu vya kwenu basi mwambie mwenye mamlaka yote ni mkeo kupitia kwa housegirl/ boy.

Naona kama hii story ni fictional kwa jinsi ulivyomalizia kwa kusema 'au ni mtukane nini'. Utamtukanaje mtu kaomba ofa ya bia, sasa matusi yako si ndio yatakuangamiza mwenyewe! Mimi umwambia mke wa mtu kuwa na ni kweli "sitoi offer kwa mke wa mtu" akamuombe offer mumewe!!!
 

nafikiri unajua mke wa mtu akikutaka you know what to do nafikiri majibu utakuwanayo kuwa kama ni sahihi ama si sahihi vile vile ni kitu rahisi tu kata mawasiliano naye thats it
 

It is the best ever
 
mbona huyo mtu anataka beer hakutaki wewe? tatizo mnapeleka mawazo yenu kucko bure.
 

Huyo ni shetani......mkimbie kwa miguu miwili!
 
Inaonekana jibu tayari unalo moyoni. DO IT!
 
... je nimtukane?

naombeni msaada wenu


wala usimtukane. usipokee simu zake wala usijibu msg zake na ukikutana naye msalimie kwa heshima. staha utakayotumia itaishinda ufedhuli wake na atakuheshimu tu. aidha usidiriki kumwambia yfuyo au mumewe kwani taarifa kama hiyo inaweza kutumika dhidi yako kwa namna yoyote ( kama polisi wanavyotahadharisha wanaowahoji).
 
Jibu liko wazi...halihitaji mjadala mpwa, kwani wewe ukiwa umeshiba hua unatafuta chakula????

Kama mkuu unaogopa naomba unipigie mm pande hilo nimalize kiutu uzima.
 
nibip nikupe namba yake fasta, wala hana bei....bia tu....tatizo ni implication yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…