Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
nadhani kama una evidence zote nenda na hizo evidence omba kikao ww,mkeo,mumewe na huyo fisadi wa mapenzi weka kila kitu wazi,its very easy
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.
Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?
naombeni msaada wenu
kaka u handsome utakuuwa - kucheza na nyumba ya mtu sawa sawa kucheza na moto......acha mara moja achaaaaa...
mpe haki yake jamani tumeagizwa kependana na kupeana mahitaji kwa nini unamnyanyapaa mtoto wa mwenzio, mtimizie Elli angalau mara moja moja
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.
Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?
naombeni msaada wenu
Huyo mke ni zero kabisa. Hafai kuwa mke na namwonea huruma huyo mumewe maana huenda hata hajui mambo ya mkewe.
Iwe kisa cha kweli au cha kutunga ukweli unabaki kuwa ni karibu na hakuna ndoa yenye uaminifu wa asilimia 100. Wake kwa waume wote wana capability iliyo sawa katika kutoka nje za ndoa zao.
Kwa hiyo ukitaka yasikukute kabisa haya ya kuibiwa dawa nim moja tu....
Umekua na kuokoka lini? I am impressed!
Amandla.....
Fundi leo umepotea njia maana sijawahi kukuona huku aisee?