Mke wa mtu ananiuliza napenda aje kwangu akiwa amevaaje?

wewe ni muongo bana atakuulizaje unapenda avaeje wakati akija kwako kama wewe hujamualika
 
Yaani huwa from no where akuambie hivyo!! Hakuna anapoanzia mpaka anafikia hapo? Mana inaonekana huwa mnayazumzia hayo mambo ndomana akafikia kukwambia ivyo.

Ushasema ni mke wa mtu kaa mbali nae,kama mpesa ndo sababu wapo wengi watoa huduma hizo basi muhame.
 
Mwambie "napenda USIJE" kama huna mpango nae wala hutaki kesi.


Aaaaaah.....we ni kichwa......was just thinking hawajakubaliana aende ila wanazungumzia avaaje................halafu mwanaume wa kujichekesha tenaaa????
 
kwan we unataka aje kwako amevaaje? Tupe mawazo yako kwanza!
 
Mie hushindwa kumuelewa kama yupo kiutani zaidi au ana lake moyoni!!

Acha kutuaibisha wanaume wenzako.....eboooo.....usipoelewa kitu ndo ucheka?????You gotta be serious and probe for more info......................instead

Ama kweli binadamu tunatofautiana wewe ungekuwa she.........yaani ungekuwa cheee sana
 
wewe ni muongo bana atakuulizaje unapenda avaeje wakati akija kwako kama wewe hujamualika

Ujue tatizo natumia simu kupost hiki kisa hivyo sijaweza kuandika kila kitu nafasi haitoshi; ila ni kwamba yeye anavyokichukulia kile kitendo cha kumlipa pesa yake bila kunipahuduma kwa wakati ule kama namuhonga; maana huanza kusema "ooh umekuja kunihonga eeeh"
Akipokea hela yake ndo huendelea na hiyo kauli yake ..."nashukuru,haya wataka nije kwako nikiwa nimevaaje?"
 
Kama ni uongo nilikua na haja gani ya kuandika hii kitu hapa; najua watekeleza haki yako ya msingi; ila hiyo issue ni kweli tupu"
Sijakataa unaweza kuwa unasema ukweli, tatizo lugha ulio tumia ina makosa, we rudia ukasome vizuri utaona makosa yako.
 
Ahy.. Kumbe wa MPESA napita mie
 

Mwambie asihangaike kuja kwako, utakuwa unamfuata hapo hapo kibandani kwake kumlipa!
 
mwambie aje ameshawekewa tego kabisa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…