King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tena huyu jamaa naona anatamani sana kubadili mahusiano toka kibiashara hadi mapenzi....Kwanini unajichekesha?Kwani wewe unamuelewaje anapokuambia hivyo?Si we muambie aje vyovyote tu!
Hahahaaaa King Kong III jamaa hajaiona ya Kenya eeeeh?aje amevaa kama yule dada aliyenasa kenya.
Mwambie aje akiwa hajavaa chupi.