Unajisifiku kugonga mke wa mtu eh, utaliwa kiboga na uoe haraka na wenzio wakugongee na naomba mkeo awe na wivu kwa hawara wake mara mia. Hv kuna raha kugongewa eh, ngoja uoe ugongewe utauona UTAMU WA KUGONGEWA
Sitaacha kushangaa ya dunia. . . . . . . . . Nilikutana na huyu jamaa kwenye hiace,jamaa alikua mwingi wa mawazo,mpaka wakati mwingine akawa anazungumza mwenyewe,nikamuuliza kulikoni?Ndipo akaniambia kuwa. . . . Yupo kwenye uhusiano na mama mmoja mke wa mtu,jama umri wake ni midle 30's na yule mke wa mtu ana miaka 45,jamaa amemwambia huyo mama anataka kuoa huyo mama amekuja juu,akamwambia kama anataka kuoa asimwache.Jamaa hataki anataka akioa yeye na huyo mke wa mtu basi,yule mke wa mtu ana hela na amemwambia akimwacha atamfanyia kitu mbaya sana!Jamaa ana hofu,kuoa anataka ila anamuogopa huyo mama.Nikajiuliza inakuaje mke wa mtu anakua na wivu na hawara yake wakati yeye ana mume??Sijapata jibu!
ungempa konzi la utosi kumuasha usingizini
OTIS
ntarudi badae, nina kisa hapa tena kimetokea jumatatu.
Chezea mapenzi eeh! Watu wanaingia kwa kujaribu wanajikuta wamenasa/wamenaswa.
Niguse unase...
ushawahi kumnasa mtu hamisi?
Niguse uone
Osaka kuna ukawaida gani mke wa mtu kuona wivu wakati yeye ameolewa?
ungempa konzi la utosi kumuasha usingizini
otis
Sioni kitu gani kinamwogopesha....huyo atakuwa tegemi fulani hivi kwa mama!
Osaka kuna ukawaida gani mke wa mtu kuona wivu wakati yeye ameolewa?