Mke wa mtu anisumbua mimi nifanyaje?

Mwanaume gani unauliza swali kama hilo.....kula mzigo huo fastaaa kabla mwenye mali hajarudi. Ukinogewa 'MI SIMO'
 
Thx to äll wanaJF kwa ushauri wenu umenijenga, kuanzia sasa utaanza kuwa mwangaza katka kumwepuka huyu anayetaka kunichafuria historia ya maisha yangu! Ahsanten sana'
 
Vitu vingine sio vya kuja kuomba ushauri banaaa. Ziulize akiri zako: eti eeee, hivi kula mke wa mtu ni sawa eeeeh? ukipata jibu, endelea na uamuzi wako
 
sasa wewe mbona umebadilisha ID yako au unaogopa mkeo atakushtukia au una mdada humu unaona soo umeamua kuja na jina jipya sio...
 
By Namavani,
mh...ndugu yangu muogope MUNGU usiangalie ya dunia kwani yatakupotosha na kukuangamiza, ukwel haufichic kamwe na ukijulikana elimu yako utaisahamu utaishia jela km babu Sea hivyo usisikilize ya kila mtu wala kufuata hisia zako bali fuata hekima yenye mafundisho yaliyo salama-NENO LA MUNGU ! MUNGU AKUSAIDIE.
 
Hana ubavu wa kujiua wala kumwambia mume wake! Anakupiga mkwara tu..endelea kumuepuka tena usiwasiliane nae kabisa..
Hili la kumwambia mme wake linategemeana na akili ya mwanamke. Nilishakutana na matatizo kama haya, mwanamke alikuwa ananitaka, ananisumbua sana tu. Anakuja home ananivulia nguo, wakati huo naishi peke yangu, lakini niligangamala na sikuwahi kula mzigo, kwakuwa mme wake ni rafiki yangu wa karibu sana, na sikutaka kumdhulumu rafiki yangu. Cha ajabu huyu mwanamke sijui alihisi labda baada ya kushindwa kunipata labda nitamwambia mme wake, akajipendekeza yeye kumwambia mme wake kwamba mimi namtaka na ninamsumbua sana. Nikashangaa ghafla huyu jamaa yangu ananichukia. Na yule mke asivyo na akili akaja kuniambia kwamba amemwambia kwamba namtaka. Nikawaza kwamba nikimwambia jamaa ukweli ninaweza sababisha ndoa yao ivunjike, the best way ni kukaa kimya na kukaa mbali na familia yao, niwaachie waendelee na ndoa yao kwa jinsi wanavyoona wao. So sisemi sasa utembee naye, but jiandae kwa lolote. Maana mwanamke kama huyo atakuwa na hofu kubwa kwamba wewe unaweza mwambia mme wake, kwa hiyo ili kujihami atatangulia yeye kumwambia ili wewe ukisema lisiwe na nguvu.
 
Mwambie unahamu ya kufanya nae mapenzi mumewe akiona
 
Bishanga ngoja niangalie sinema ya bure hapa........eti unaogopa kulamba mke wa mtu......booo!
 
Kaka mke wa mtu achana nae kabisaaa yasije kukuta makubwa,yeye kama anataka kujiua na ajiue but trust me hawezi kujiua wala kumwambia mumewe,kwanza anaanzaje kumwambia.wewe achana nae kabisa na ujiweke mbali nae.
 
ahsante sana kwa ushaur mzur
 
Nadhani huyo hajakuvutia. vinginevyo hii topic isingekuwa hapa leo.
 


Mwogope kama ukoma vile tayari ni mke wa mtu na kumbuka yawezekana anafamilia na inatokea mumewe anapata habari kisha anampa talaka, watoto wanaanza kuhangaika, how would you feel??? na hasa zaidi fikiria kama ndo wewe mkewe anafanya hivyo na unagundua kuna jirani yako anakufanyia hivyo, utakuwa na raha moyoni mwako??? nafikiri si vyema kufanya hivyo.
 

Acha Upuuzi, Maliza shule wewe..Mke sio wako.
 
Mwambie kama atajiua mkorogee sumu ili asichelewe kujiua huyo ni kicheche tu hana lolote anakutisha kumwambia mmewe mwambie hana huo ubavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…