Mke wa mtu anisumbua mimi nifanyaje?


chezea bahati kufa kupo ushauri wa kijinga ndo mzuri raha jipe mwenyewe kaka chimba manta!!!!!!!!
 

pole sana.... usikubali ombi lake hayo ndo majaribio ya shetani anataka kukuvunjia heshima kwa mungu....
 
Aisee uwe makin cz huwez kujua huyo mwanamke anachokitaka kwako,yawezekana anataka kukufurugia future yako,hafu kwann ushoboke na mke wa m2 wakat wwe bado kijana!unaweza kuenjoy na vijana wenzio!we endelea kumpangua tenah ubadlike uwe na mkal kabisa ili ackuzoe na kma anataka kujiua ajiue na wala hata hawez kujiua wala kumwambia mume wake.xo nafikir utakua umenisoma kma kwel hutaki shida."
 
Bishanga ngoja niangalie sinema ya bure hapa........eti unaogopa kulamba mke wa mtu......booo!

hahaha, mke wa mtamu ila ni sumu bhabu, watu wanagonga lakini mpaka waridhishwe na mazingira yote!! shauri yako, siku hizi ndio hivyo tena wengine wanawawekea wake zao tego ukichomeka haitoki....!!! hahaha
 


-Je wewe unampenda?
-Kama unampeda yet unalitambua kwamba ni mke wa mtu wa ndoa, man hama hapo ulipo fasta the man may one day disorganize you.
-Kama unampeda pia na sio mke wa ndoa na hajazaa na huyo jamaa (cohabitation marriage), hapo you have a chance.
-Kama humpendi na yeye anakupenda make sure una block number yake ya simu na pia tafuta sehemu nyingine ya kuishi.
-Je wewe uko na girlfriend? Kama uko nae akikupigia handover the phone to your girlfriend lakini make sure she knows kila kitu. (Pia do it at your own risk)
Ila pia you sound like pia unampeda. Chunga sana usije ukagusa ikagomea ndani, you will cry with one eye my friend!
 
kama humpendi mwambie ukweli kuwa asahau kabisa.................. na ukae mbali naye kabisaaaaaaaaaaa. akijiua ajiue tu
 

Lukwa mimi nipo Dar es Salaam, nafanya kazi Upanga hiyo mambo kama inakushinda nipe contact zake nimshighulikie fasta, anafanya kazi wapi? kama huta jali email yangu ni kmwage@yahoo.com
 
kweli hilo shangingi la mjini lol!
mwanamke gani huyo anamzalilisha mumewe kiasi iko jamani..........ushauri kaa mbali naye haraka iwezekanavo
jifunze kuikimbia zinaa
 
kama humpendi mwambie ukweli kuwa asahau kabisa.................. na ukae mbali naye kabisaaaaaaaaaaa. akijiua ajiue tu
na wala hatojiua iyo inaitwa kutishia nyau mtu mzima aende zake huko akikukira je ukiacha kuendelea kukua utamlaumu nani
 
Najua wapo watakaokushauri kupiga mzigo, we ni kijana msomi hope una upeo mkubwa wa kuanalyse mambo kabla ya kufika hapa ungekwishaamua ufanyaje. But please dont dare to try it you will suffer otherwise hivi hata kama ni wewe utajisikiaje ukiambiwa siku moja mkeo anapigwa na mchovu flaniaau hata mke wa brother wako? Kijana wasichanawazuri na waadilifu wapo na wako single hasa huko unakosoma so tafuta wako ambaye mtakuwa wawazi hata machoni pa watu. Dogo nakushauri achana na huyo mke wa mtu ni sumu ambayo itaharibu your life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…