Mke wa Mtu AVUA NGUO Meeda BAR-SINZA, Kisa POMBE

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
2.bmp

KITUKO cha aina yake kimejiri Jumamosi iliyopita ndani ya Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar wakati Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo' ilipokuwa ikitumbuiza

Katika onesho hilo, mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu alifanya kitendo cha aibu baada ya kusaula nguo zake zote na kubakia na nguo za ndani.

Katika onesho hilo, Extra Bongo ilikuwa ikiwashindanisha mashabiki wake kucheza staili yao ya Kizigo na washindi kujinyakulia zawadi za fedha.

Wakati bendi hiyo inayoongozwa na ‘Kamarade' Ally Choki ikitoa burudani, ghafla mwanamke huyo alivamia jukwaa na kuanza kucheza kwa staili aliyokuwa akiijua mwenyewe.

1.bmp

Mpigapicha wa amani alipojaribu kumpiga picha dada huyo alihamaki na kumjia juu huku kumtishia kumvunjia kamera yake huku akidai kuwa yeye ni mke wa mtu, hivyo hapaswi kupigwa picha.

"Mimi ni mke wa mtu ukifanya mchezo nitakutolea laana," alisema mwanamke huyo huku akizishika nguo zake na kuanza kuzitoa mwilini mwake moja baada ya nyingine.

Wakati mwanamke huyo akiendelea na zoezi lake la kusaula nguo, alijitokeza dada mwingine ambaye aliambatana naye pamoja ukumbini hapo na kumwita kwa jina la wifi.

"Wifiii…, wifiii…, weee wifii pombe gani hizo, usivue nguo, usifanye hivyo ni aibu, itakuwaje kaka akiziona hizo picha magazetini?" alisema dada huyo aliyedaiwa kuwa ni wifi mtu lakini pamoja na kumpigia kelele hizo haikusaidia kumzuia mwanamke huyo mcharuko kusaula nguo zake.

Baada ya kuombwa sana na wifi yake, mwanamke huyo alivaa nguo zake na kuendelea na burudani hadi mwisho.

Haikufahamika mara moja kama mwanamke huyo alifanya kitendo hicho kutokana na pombe au hasira za kupigwa picha
 
http://sangafesto.blogspot.com/2013/01/picha-mke-wa-mtua-avua-nguo-na-kubakia.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+HabariMpasuko+%28HABARI+MPASUKO%29&utm_content=FaceBook#.UQKtOx1X18E

Nafkiri hapo ni moja ya ofis za kina Dada poa!yuko kazini
 
Haya maneno ya wahenga wengi huyachukulia kirahisi rahisi.....POMBE SIYO CHAI jamani.....
 
Nguo zipi hizo unazodai amevua. Mbona mimi naona amevaa na alichobeba mkononi ni kitambas cha kufutia jasho. Nowdays, Dar is damn hot.
 
Bado hajavua nguo jamani? nguo ni hizo zilizobaki mwilini hizo...hahahaaaa
 
2.bmp

KITUKO cha aina yake kimejiri Jumamosi iliyopita ndani ya Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar wakati Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo' ilipokuwa ikitumbuiza

Katika onesho hilo, mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu alifanya kitendo cha aibu baada ya kusaula nguo zake zote na kubakia na nguo za ndani.

Katika onesho hilo, Extra Bongo ilikuwa ikiwashindanisha mashabiki wake kucheza staili yao ya Kizigo na washindi kujinyakulia zawadi za fedha.

Wakati bendi hiyo inayoongozwa na ‘Kamarade' Ally Choki ikitoa burudani, ghafla mwanamke huyo alivamia jukwaa na kuanza kucheza kwa staili aliyokuwa akiijua mwenyewe.

1.bmp

Mpigapicha wa amani alipojaribu kumpiga picha dada huyo alihamaki na kumjia juu huku kumtishia kumvunjia kamera yake huku akidai kuwa yeye ni mke wa mtu, hivyo hapaswi kupigwa picha.

"Mimi ni mke wa mtu ukifanya mchezo nitakutolea laana," alisema mwanamke huyo huku akizishika nguo zake na kuanza kuzitoa mwilini mwake moja baada ya nyingine.

Wakati mwanamke huyo akiendelea na zoezi lake la kusaula nguo, alijitokeza dada mwingine ambaye aliambatana naye pamoja ukumbini hapo na kumwita kwa jina la wifi.

"Wifiii…, wifiii…, weee wifii pombe gani hizo, usivue nguo, usifanye hivyo ni aibu, itakuwaje kaka akiziona hizo picha magazetini?" alisema dada huyo aliyedaiwa kuwa ni wifi mtu lakini pamoja na kumpigia kelele hizo haikusaidia kumzuia mwanamke huyo mcharuko kusaula nguo zake.

Baada ya kuombwa sana na wifi yake, mwanamke huyo alivaa nguo zake na kuendelea na burudani hadi mwisho.

Haikufahamika mara moja kama mwanamke huyo alifanya kitendo hicho kutokana na pombe au hasira za kupigwa picha

Mbona amevua gauni tu nguo bado anazo!!!
 
Back
Top Bottom