engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Nakubaliana na wewe! Hamna "Liabilities" unapo do na mke wa mtu - It is just funny and sweet
mapinduziiii daimaaaaaa
Kweli jamani najua sana madhara yake ila mke wa mtu mtamu bwana. Kwanza ni nzuri kama wote mnaiba. Yani mwanaume kaoa na mwanamke kaolewa, yani mkikutana kwenye kuchakachua penzi utamu wake hauni kifani.
nakubaliana na wewe! Hamna "liabilities" unapo do na mke wa mtu - it is just funny and sweet
Kweli jamani najua sana madhara yake ila mke wa mtu mtamu bwana. Kwanza ni nzuri kama wote mnaiba. Yani mwanaume kaoa na mwanamke kaolewa, yani mkikutana kwenye kuchakachua penzi utamu wake hauni kifani.
Mbona wachangiaji wamejawa na hasira kiasi hiki? Hamuamini katika ndoa zenu? Kama wake zenu au waume wenu wana do nje ni lazima watakuwa wana-enjoy zaidi huko nje (right?)

aiseee!