Kweli jamani najua sana madhara yake ila mke wa mtu mtamu bwana. Kwanza ni nzuri kama wote mnaiba. Yani mwanaume kaoa na mwanamke kaolewa, yani mkikutana kwenye kuchakachua penzi utamu wake hauni kifani.
Kweli aiseeee ni mtamu sana...
mke wa mtu HAPANA bana
Ndugu wanajamii,
Ninaamini hapa kwenye forum kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake,Lakini kwa upande wangu ninashauri tutoe maoni yenye kuijenga jamii yetu ya Kitanzania.Kwa mfano sikubaliani na mtoa mada kuhusu kuiba penzi la mke ambaye ameolewa,hawa ni watu ambao ni kikwazo katika vita vya kupambana na ukimwi,Mimi ninashauri kila mtu aridhike na mke wake na kwa wale ambao hawajaoa wasubiri.
Maoni ya kujenga jamii ni muhimu kwenye forum hii,
Asante na Mungu wa Amani atupe fikira chanya
Elisante Yona

Unajua Baba E,
Leo nimeshangaa sana kuona watu wanakuja juu. Nadhani wengi wetu hatupendi kuguswa kwa mambo tunayoyafanya sirini tukidhani kwamba ni siri zetu hadi kufa. Nashindwa kuelewa kwa sababu wanaume wengi tu wanatembea nje ya ndoa kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo haiwezekani kwamba wanaume wote hao wanaotembea nje ya ndoa wanafanya hivyo na mabinti wadogo tu. Ina maana kuwa wapo wengi pia wanaotembea na wake za watu. Kwa ufupi wake na waume za watu (may be na mimi pia pamoja na mke wangu) wanatembea nje ya ndoa. Sasa kinachofanya watu wapandishe hasira ni nini? Tena ukizingatia mtoa mada kaanza kwa kutoa angalizo kwamba ni jambo la hatari. Hapa kuna mambo mengi yanayojidhihirisha bila wahusika kujua wala kutaka hivyo.
Babu ataendelea kuyaangalia kwa jicho lake la 1947!!
Chauro,
Hayawezi kuisha. Siku yakisha ujue watu wote wamekuwa malaika na kwa maani hiyo dunia itakuwa imefika mwisho wa safari yake!
ha haaaaaaa, babu hapo kwenye red umenifurahisha sana................
Mhhhh.....
Mbona na mimi ni binadamu dada? I cannot be an exception and I am truly not!
nakubaliana na wewe babu 100%
Hakuna kuhonga, kununua beer, hotel analipa yeye, na bill zote ana-clear ....safi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana mke wa mtu mtamu...
FP mbona unapotea hivyo? Anywayz salamu kutoka kwa Dena Amsi!
Bwana nipo tu, ni kubanwa na majukumu tu. Dena si ni mke wa mtu? ha haaaaaaaaaaaaa, nimepata picha kwa nini unatetea hoja....... all the best. Msalimu pia huyo Dena
Una shida kiasi hiki?...
Bwana nipo tu, ni kubanwa na majukumu tu. Dena si ni mke wa mtu? ha haaaaaaaaaaaaa, nimepata picha kwa nini unatetea hoja....... all the best. Msalimu pia huyo Dena