Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ila hata wakimkamata baadae adhabu itabadilika, sio hiyo waliyotaka kumpa hapo
Kavaa parachuti kama lile la bwana brayani dikon msalabani.Kavaa nn iko?
Safi sana jamaa kaamua kuyalinda marinda yake kwa gharama yoyote, kongole kwake aiseeππAngakuwa kavaa suruali wangemkamata ila kavaa boxer hapo mbio nyingi sana.
ππHeri huyo huyu yeye akiondoka na boma Zima afu akakimbia uchi akiruka kama mjeshi.