Mke wa mtu sumu, huyu nae vipi?

Wewe pamoja na jamaa yako wote ni wanaume legelege,inaonyesha hata mkioa wake zenu watakuwa wanagogwa sana,maana hamna maamuzi ya kiume mtakuwa mnaletewa waume wenzenu mpaka nyumbani,JIANGALINI SANA.
 
Kweli mapnz kizunguzungu!Hata kama utamshauri huyo mshikaji wako aachane na huyo mke wa mtu ikiwa bado anahitaji kuwa spea tairi kwa huyo mwanamke itakuwa kazi bure, cha kufanya mwache aendelee mpaka pale moyo wake utakapohisi maumivu na kukinai kushea mke wa mtu na kufikia maamuzi yy binafsi na kuachana na huyo mke wa mtu,na aombe mungu hali hiyo imkute akiwa bado hajafumaniwa na mwenye mali yake na kushikishwa adabu!
 
mwenye macho haambiwi tazama, huyo rafiki yako aamue mwenyewe kusuka ama kunyoa
 
Tatizo lake jamaa ni king'ang'anizi ndio mana nikaona nililete hapa kwa wadau ili tusaidiane kulipatia ufumbuzi
 
Wewe pamoja na jamaa yako wote ni wanaume legelege,inaonyesha hata mkioa wake zenu watakuwa wanagogwa sana,maana hamna maamuzi ya kiume mtakuwa mnaletewa waume wenzenu mpaka nyumbani,JIANGALINI SANA.

Sizani kama upo sahihi kutuambia mimi na rafiki yangu kuwa ni legelege ila kwa kuwa ni mtazamo wako unaweza ukawa sawa au usiwe sawa
 
Tatizo lake jamaa ni king'ang'anizi ndio mana nikaona nililete hapa kwa wadau ili tusaidiane kulipatia ufumbuzi
ufumbuzi ni yeye kuachana na mke wa mtu haraka iwezekanavyo basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…