Mke wa mtu sumu

Unajua ukimuingilia mgoni wako kinyume nyume akikushtaki unakula mvua za kutosha.
Hakimu : mshtaki wa kesi namba AB1259F elezea jinsi tukio lilivyotokea



Oyaaaaa unaanza kuelezea vipi hapo? Ndiyo maana wengi yakiwakuta wanaishia tu kuhuzunika .

N.b
Ni bora uchezeshee kichapo kwa wote halafu unatoa talaka unasepa au chukua ushahidi kafungue kesi piga pesa halafu tia talaka hicho kitendo hakifai na haitomzuilia mke wako asichepuke.
 
Habarini wataalam wa Jamii Forums.Naomba msaada wenu TV yangu ya HOMEBASE yenye Double glass na picha ya HD ready inanisumbua Sana picha inacheza cheza kama mwanga wa disco.Hali hii inanikera hasa unapotaka kuangalia movie mwanga unacheza cheza.

Wataalam naombeni msaada.
 
Shem kwani giza ni hisia mpaka kipofu ahisi?
Tafsiri ya Kipofu ni mtu mwenye matatizo ya kutokuona,
Sasa unaposema Kipofu anaona Giza,unakua hueleweki,
Kitendo cha kua na uwezo wa kuona kinahitaji usiwe kipofu,
Kipofu anaweza akahisi ila hawezi kuona.
 
nimeijuaa hiii

Mechi ya yanga bar moja kuna mke wa mtu kalewa goli limeingia kaanza kuchezeshesha mauno jamaa.mmoja akakaa nyumayatako lake
mume sijui alipotokea Mungh anajua tu
Palipasuka gafla


Akaenda kuangalia.mpira.palestina hospt

Haaa madada wa mpirani sio wa kurukia rukia wengine dili oooh
 
😂😂
 

Attachments

  • IMG-20240916-WA0000.jpg
    57.5 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…