Mke wa mtu

Mke wa mtu

haki8

Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
26
Reaction score
35
Je wanajanvi nini cha kufany pale unagundua umempa mimba mke wa mtu na hataki kutoa but yeye lengo lake ni kutoja pale alipo ili aolewe na mm
 
Je wanajanvi nini cha kufany pale unagundua umempa mimba mke wa mtu na hataki kutoa but yeye lengo lake ni kutoja pale alipo ili aolewe na mm
Inatakiwa ujue cha kufanya kabla hujampa mimba.
 
Kajifunze kiswahili basata ndio uje uulize vzur swali lako. Acha kukurupuka..mkuu
 
Na ww unajichanganya sana. Kwann utembee na mke wa mtu?
 
Je wanajanvi nini cha kufany pale unagundua umempa mimba mke wa mtu na hataki kutoa but yeye lengo lake ni kutoja pale alipo ili aolewe na mm

Akija kwako na ww atakufanyia hivyo hivyo anavyomfanyia huyo mume wake wa sasa...fikiri sana mkuu
 
Hiyo mimba sio yako tena ni ya jamaa anaeishinae
 
Chakufanya ni kumweleza mme wake ili akupe ushauri mzuri xaidi.
 
mkuu wako akimegwa utajisikiaje ? na kwa nini usitafute wako mpaka uanze angaika na wake zetu ?
 
Back
Top Bottom