Ni wanawake wachache sana Tanzania hii wenye msimamo kama huyu
Rafiki yako anakosea kusema mke wa mtu ghali.
Mke wa mtu hana bei mshikaji.
Huyo si anaitembeza kwa milioni? Sasa milioni nayo ni pesa.
Mimi navyo elewa wake za watu hawajiuzi kwa bei ya aina yoyote.
Itabidi tuawatafute aisay.ni kweli kabisa, wengi wao huwa wanahonga wao.:eyebrows:
Yawezekana wakati fulani tunashindwa kujua thamani za wake zetu....
ngoshwe na mimi nigongee 'like' basii ! :eyebrows: