Kama utaona mie nimemwuliza ulianza nae wa nini? Hicho ni kiherehere chake tu kashapata alichopata sasa hivi ndo anaona anang'ang'aniwa
Kama utaona mie nimemwuliza ulianza nae wa nini? Hicho ni kiherehere chake tu kashapata alichopata sasa hivi ndo anaona anang'ang'aniwa
Mwambie kuwa jogoo wako hapandi mtungi
Mke wa mtu achana nae,tafuta wako.Apo unatafuta kifo.
Unakumbuka yaliomkuta Mr.Kimambi?
Ana ning'ang'ania nimfanyeje?
Mwambie kuwa uko kwenye siku zako, ataacha!
Siku waje wakuvunjie yai ma****** ndo utajua kweli cha mtu mavi!.Ana ning'ang'ania nimfanyeje?
Hajipandishi chati ila anajishusha wa bei rahisiWenye kung'ang'aniwa hawapigi tarariiiiii!
unatafuta kujipandisha chati bureee...huna lolote!
Ana ning'ang'ania nimfanyeje?