Mke wa Mwijaku apewe Maxi Mpia Nzengeli Tafadhali!

Kwani Mwijaku anasemaje Muda huu?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwijaku tumuachie Kipanya tu wamalizane mahakamani mpaka akili zimkae sawa.

Mashabiki wa Yanga tunamfuata mke wa mwijaku au anakujaa mwenyeweeeeee kwa Ally Kamwe?
 
Mke wa kichaa ni kichaa, muacheni Max wetu tafadhali.

Nashauri mke wa Mwijaku apewe Mwananchi mwenzetu Nabii Tito.
Kwanza Max bado bikra, wasitske kumkongoroa kama walivyomkongoroa Aziz Ki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…