Mke wa pili ...!A curse or blessing?

Pole sana dada. Na mara nyingi wanaopata laana za kuvunjika ndoa ni wanaume kwa sababu wao kama kichwa ndio chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika. In most cases women move on na maisha yanakuwa pouwa kuliko hapo awali. Mungu anawaadhibu hawa kaka zetu kwa tamaa zao za dogo dogo na kukubali kusambaratisha familia zao.

Kwa wanawake wengi waliotoka kwenye ndoa naona mambo yao si mabaya.



 
Kuwa na vimada ni quit different na kuoa. Tena wenye vimada wengi ni wanaume ambao wanajua limits. Hao vimada hawana nafasi ya kuingilia mipangilio ya familia hasa masuala ya kiuchumu. Hata kama unakuta anajengea nyumba au kununulia gari kimada, wengi unakuta ni kuwa anazo pesa za kutosha hiyo ni change. Kuoa maanake umepata mshauri mpya katika maisha yako; kama ni mwanamke wa anasa; na mara nyingi huwa hivyo jua umepotea. Maana I can imagine type of a woman ambaye ana dare kumtoa mwenzie kwenye ndoa kwa kujiona yeye ni bora zaidi. In most cases ni wale wadada wa aina fulani.


Narudia tena sio kwamba na Support but tuangalie logic;

Swali....
  • Wangapi pia wameoa wana Mke mmoja na bado maisha ni mabaya or just Sustainable??
  • Wangapi wameoa wana Mke mmoja but ana vimada kumi kidogo?? What's the difference??
 
Baba Enock leo umewaza nini. Unajua nimechangia bila kuangalia nani kaleta huu uzi ulopiga shule. Is that you real? I remember your comments on supporting things that made me think of you as a last person to respect marriage.

Big up!
 
Mimi nina kaka yangu alioa mke ambaye mama yake (My aunt) na nduguze waliona kuwa jamaa kaingia mkenge. Wameishi for almost 20 years (kama niko sahihi) ndio bro kaanza kuona wife hafai. Na bro mwenyewe ni mfanyabiahsara maarufu na pesa zipo za kutosha. Kaamua kuachana na mkewe. Marafiki zake wanasema it was a right decision. But nikimuangalia alivyobadilika nasema mara elfu angebaki na huyo mkewe mcharuko. Maana amekuwa kama chizi. Ameshakaa na mwanamke mwingine for less than two year wametengana. Yaani ni nuksi hata kama situation forced him to make such a decision. Kwa sasa naweza kumuita bachelor maana naona amekata tamaa ya kuoa tena. Sasa nambie bachelor wa uzeeni. Na bado hajafulia lakini anapata tabu kupata right candidate.

Watoto wake sasa wanamchukia hamna maelezo. It is always like that when marriages ends it's the father to blame. Watoto walikuwa vipenzi wa baba yao lakini sasa hivi wananambia NK ni bora niombe ela kwa mtu mwingine si kwa baba imagine chuki gani hiyo kati ya mtoto na babake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…