Waheshima, ndugu wana jukwaa wa jamiiforums naomba msaada kwenu. "Kuna taarifa zimezagaa kuwa JK ana mke wa pili aliyemuao wakati wa kampeni 2005. isitoshe mke huyo ni Muajemi (inarahisishwa kuwa ni Mwarabu) kwani ni dadaye Rostam Aziz."
Pia inadaiwa ndio maana JK hana ubavu wa kumueleza lolote RA pamoja na tuhuma zote zinazomuhusu ambazo ni kubwa kuliko za Yona na Mramba.
Narudia tena naombeni msaada wa kueleweshwa kuhusu hili.
Mods
I think this belongs to celebrities folder!!
Ikiwa huna data Nyamaza
Kwanza una post 13 umeona hapa sehemu ya kuuliza vitu vya ajabu ajabu mfate mwenyewe kamuulize
Ikiwa huna data Nyamaza
Ndio matatizo ya watoto wa darasa la saba kuwaachia mtandao !!,na wanaingia humu kuuliza upupu. swala ni la utendaji kazi wake raisi hata awe na wake 20 who cares ?.we tueleze nchi anaiendeshaje na anazingatia vipi maslai ya wananchi wake sio swala la ana sketi ngapi kwake camon pips !!!! wake up
Waheshima, ndugu wana jukwaa wa jamiiforums naomba msaada kwenu. "Kuna taarifa zimezagaa kuwa JK ana mke wa pili aliyemuao wakati wa kampeni 2005. isitoshe mke huyo ni Muajemi (inarahisishwa kuwa ni Mwarabu) kwani ni dadaye Rostam Aziz."
Pia inadaiwa ndio maana JK hana ubavu wa kumueleza lolote RA pamoja na tuhuma zote zinazomuhusu ambazo ni kubwa kuliko za Yona na Mramba.
Narudia tena naombeni msaada wa kueleweshwa kuhusu hili.
Maalim lazima uelewe kitu JK kama Musilam anaruhusiwa kuwa na wake 4 na hilo sidhani kama ni tatizo
Pili kama mwahili mwenzetu hii kwanza ameonyesha ni RIJALI na hakuna UBAYA wowote ule
Tatu al muhim mindhali kao kule AHLUL BAIT then thats fine with me
Lakini nadhani tatizo la mtoa mada si JK kuoa bali amemuoa nani? na hili lina impact gani ktk kazi tuliyomtuma ya kutuongoza waTz? na pengine kama kweli ameoa mbona imekua siri?
mbona mke wa Mbowe kawa siri na hataki kupiga naye picha
hilo mbona hamsemi?