Mke wa Prof. Janabi alivyosimamishwa Wabunge wamuone

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wabunge wameibua shangwe baada ya kutambulishwa kwa Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, pamoja na Dk Magdalena Lyimo, mjane wa Dk Faustine Ndugulile.

Tukio hilo limefanyika leo Juni 2, 2025, wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma, wakati Waziri wa Afya, Jenista Mhagama akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26.

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa ndio wabunge washambenga
 
Angekuwa amenenepeana kama guruwe pia mnasema.... binadamu hamna wema πŸ˜› πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…