Mke wa Rais ndio chanzo cha mgogoro Korea Kusini

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Mke wa Rais wa Korea Kusini Bwana Yoon amekuwa na kashfa nyingi za Rushwa hapo Korea Kusini. Moja ya kashfa ni kutoa upendeleo kwa mgombea nafasi ya ubunge na kushirikiana na makampuni yanayohusika na kura za maoni ili kuonesha kwamba mgombea anayempendelea anaongoza.

Pia ana kashfa ya kuhongwa vitu vya thamani na watu wenye ushawishi ndani ya Korea Kusini. Kwa mfano alihongwa mkoba wa kike wenye gharama kubwa na Mchungaji mmoja maarufu nchini Korea Kusini.

Tatizo likaja pale ambapo Rais wa Nchi aliomba msamaha kwa niaba ya mke wake na kukataa mke wake asichunguzwe na vyombo vya Dola. Pia akadai pamoja na kashfa dhidi ya mke wake ila mkewe hajafanya kosa lolote. Kauli hii ya Rais ikapelekea upinzani mkubwa kutoka kwa wabunge wa Korea Kusini.

Hivyo wabunge wakaazimia kumuondoa madarakani Rais Yoon kwa kumpigia kura ya kutokuwa na Imani naye. Rais Yoon kuona hivyo akaamua kutangaza serikali ya kijeshi, kufuta maandamano na pia kulivunja bunge.
 
Kumbe
Screenshot_20241204_123549_Google~3.png
 
That thing is so powerful if not dealt with care! Bob Marley once said; in any man's failure, that thing was nearby. Mapenzi kitovu cha uzembe hiyo ndio maana yake.

Kweli kabisa. Hiyo kitu Ina nguvu Sana.
 
Mke wa Rais wa Korea Kusini Bwana Yoon amekuwa na kashfa nyingi za Rushwa hapo Korea Kusini. Moja ya kashfa ni kutoa upendeleo kwa mgombea nafasi ya ubunge na kushirikiana na makampuni yanayohusika na kura za maoni ili kuonesha kwamba mgombea anayempendelea anaongoza.

Pia ana kashfa ya kuhongwa vitu vya thamani na watu wenye ushawishi ndani ya Korea Kusini. Kwa mfano alihongwa mkoba wa kike wenye gharama kubwa na Mchungaji mmoja maarufu nchini Korea Kusini.

Tatizo likaja pale ambapo Rais wa Nchi aliomba msamaha kwa niaba ya mke wake na kukataa mke wake asichunguzwe na vyombo vya Dola. Pia akadai pamoja na kashfa dhidi ya mke wake ila mkewe hajafanya kosa lolote. Kauli hii ya Rais ikapelekea upinzani mkubwa kutoka kwa wabunge wa Korea Kusini.

Hivyo wabunge wakaazimia kumuondoa madarakani Rais Yoon kwa kumpigia kura ya kutokuwa na Imani naye. Rais Yoon kuona hivyo akaamua kutangaza serikali ya kijeshi, kufuta maandamano na pia kulivunja bunge.
Wanawake always ni wapumbafuuu aijalishi ni mama yako au mama yangu ...ndiyo maana ni hasara kubwa sana kumsikia mtoto ana sema bora unitukanie baba kuliko mama.
 
Back
Top Bottom