Mke wa Rais Zimbabwe atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari nchini Urusi

Mke wa Rais Zimbabwe atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari nchini Urusi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Mapema leo, akiwa ziarani nchini humu kuimarisha uhusiano katika nyanja ya elimu, utamadan n.k, Bi.Auxillia Mnangagwa alitembelea Chuo Kikuu kijulikanacho kama "Russian State University for the Humanities (RGGU)".

Huko kwenu mna Shahada za kimichongo, ujanja ujanja na speed kali!

Ni wakati wa kumpa tuzo ya juu ya kitaifa ya kiheshima mpambanaji, Hayati JPM.

 
Kwahiyo wanataka "kuizereu" Phd yetu ionekane haina maana sijapenda kwa kweli.
 
Back
Top Bottom