Mapema leo, akiwa ziarani nchini humu kuimarisha uhusiano katika nyanja ya elimu, utamadan n.k, Bi.Auxillia Mnangagwa alitembelea Chuo Kikuu kijulikanacho kama "Russian State University for the Humanities (RGGU)".
Huko kwenu mna Shahada za kimichongo, ujanja ujanja na speed kali!
Ni wakati wa kumpa tuzo ya juu ya kitaifa ya kiheshima mpambanaji, Hayati JPM.