Saidy Hamidu
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 147
- 128
Duuuuuuh hapo ndio kajionyesha kuwa yeye wa kiwango gani. Kajishusha shuuuu. Kwani siku zote hakuwa anatoa! Ujinga wa kiwango cha flani hivii.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee hebu jaribu kuupgrade comment zako, kila kitu "ohoooo"!Oh oo oo!!!
-Ndumilakuwili-
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyo mkewe nae inaonekana kimeo sana kipindi Roma ametekwa huwenda na yeye aliteka mtu chumbani.
Anasema ujinga gani sasa hapo.
Wanampa nn????Duuuu aisee na mondi sijui inakuagaje,maana view million kwa wiki ni kawaida kabisaaa,sa sijui madem zakehua wanampa nn kilaakitoa mpya
Inaonekane kunabaadhi ya mikao huwa hamfanyii .,anawatu wake ..Leo anamwaga radhi[emoji23]
Bado upo JF tu???![emoji32][emoji75][emoji48][emoji83][emoji51]Duuh ndio maana wanasema usipende kuongea/ kutoa ahadi ukiwa na furaha sana. Yaani huyo dada furaha imemzidi baada ya siku mbili tatu ataanza kujishangaa mwenyewe hivi hapa ndo niliandika nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hapo sasa!Duuuu aisee na mondi sijui inakuagaje,maana view million kwa wiki ni kawaida kabisaaa,sa sijui madem zakehua wanampa nn kilaakitoa mpya
Nimeshapata churaBado upo JF tu???![emoji32][emoji75][emoji48][emoji83][emoji51]
Wanasema usifanye maamuzi ukiwa na furaha - - ndo hayoooo matokeo yake.Hamna mke apo...kaoa matatizo tu mwanamke gani uyo anaropoka ropoka hovyohovyo mitandaoni...