Mke wa tu nikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije kukutana naye popote pale

Joined
Feb 11, 2023
Posts
96
Reaction score
182
Huyu mwanamke anatia aibu sana.

Awali tumwkubaliana na tulikulana Sana.

Ametoa Siri nyingi za mumewe. Hadi naona aibu. Namkwepa sana.

Nnikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije kukutana naye popote pale..

Wanawake ambao Kwa bahat mby waume zao wanaume sukar nk Ile kazi ya ndani hawaimudu Tena. Huyu jamaa ake alimhudumia Sana Kwa mujibu wa maelezo yake.

Jamaa ake alimshtukia na kwa kuwa hana Hali na uwezo. Anajua anachapiwa.

Aliponipa taarifa nikaamua kula Kona
 
Dah aseeeh

Ila unadhani na wewe upo pekee yako hapo basi?
 
Back
Top Bottom