Achapombe cha pombe
Member
- Feb 11, 2023
- 96
- 182
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kudadeki ushapakwa mafuta weweHuyu mwanamke anatia aibu sana
Ningeendelea ningepigwa Linda linda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kudadeki ushapakwa mafuta wewe
Atembee na kilainishi.baada ya kuona mke wa mtu tu ,Nasubiri coment pendwa
Kumbe malinda tayari huna. Ulishayaweka bondi siku nyingiNahifia vitu viwili.
Busha na kunasiana
Ni dalili mbaya na aibu kwa mwnaume kusisitiza comment kama hii aiseeeee...😶Ningeendelea ningepigwa Linda linda
Haha oga its real oooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kudadeki ushapakwa mafuta wewe
😁😁😁Achague apigwe kavu au na kilainishiAtembee na kilainishi.
Dah aseeehHuyu mwanamke anatia aibu sana.
Awali tumwkubaliana na tulikulana Sana.
Ametoa Siri nyingi za mumewe. Hadi naona aibu. Namkwepa sana.
Nnikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije kukutana naye popote pale..
Wanawake ambao Kwa bahat mby waume zao wanaume sukar nk Ile kazi ya ndani hawaimudu Tena. Huyu jamaa ake alimhudumia Sana Kwa mujibu wa maelezo yake.
Jamaa ake alimshtukia na kwa kuwa hana Hali na uwezo. Anajua anachapiwa.
Aliponipa taarifa nikaamua kula Kona