Mke wa william mtitu ajifungua mtoto wa kike

Mke wa william mtitu ajifungua mtoto wa kike

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mwigizaji, muongozaji wa filamu na mmiliki wa kampuni wa filamu ya 5effects William Mtitu amepata bahati ya kuongeza idadi ya wanafamilia wake baada ya mke wake Jovitha Mtitu kujifungua salama mtoto wao wa kwanza kwenye hospitali ya Regency jijini Dar es salaam hivi majuzi.

Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja wa kijamii Mtitu aliandika…

“Nawashukuru madaktari wa hospital ya regency na kwa Dr mvungi wakiongozwa na Dr getu kwa kusaidia mpaka mke wangu kujifungua salama na sasa naitwa baba na mke wangu mama ,kwa kweli mungu awabaliki sana…”

Hali ya Mama na mtoto ni njema na wanaendelea vizuri. Hongera sana Mtitu na familia yako.
 
Congrats kwao, welkam to the world little cute bby gal!
 
Sasa sisi tufanyeje tukampikie mtori??wewe utazaa lini
 
Back
Top Bottom