Mke wangu alinisamehe lakini ananipa tena masharti ya Kunyoa

Mimi simtanii hata. Jana tulikuwa tunaangalia muv ya QUEEN & SLIM nikamwambia kuna slim na Thin...akasema yeye ni Slim Lady, nikaacha hizo story ili

Mimi simtanii hata. Jana tulikuwa tunaangalia muv ya QUEEN & SLIM nikamwambia kuna slim na Thin...akasema yeye ni Slim Lady, nikaacha hizo story ili nisimtanie
Kabisa wanajua sana kuplay victim na akishikilia kitu ur done
 
Nilizani umnyoe kule kwa bibi kumbe midevu na minywele yako
 
Inaonekana umri wenu bado.mdogo. mnafanya mambo ya kitoto. Sina hakika kama wewe ndie uliyeleta mada kama hii.ya kumsema mkeo mwembamba kisha ukamnunulia mishkaki ili anenepe.

Muhimu kama sio utani ni kwamba wewe ndio tatizo, na ukichelewa kubadilika hiyo ndoa yako utaipoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…