Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

Shule zifunguliwe Sasa tupumzike.
 

Vijana hawajui kwamba ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu​

Hawajui Jf huwa tunatunza risiti

​

Mjini uki chukulia kila kitu seriously utagombana na kila mtu, zingine zinaekwa humu jf kama utani tu watu wafurahi… ukiona inakuumiza sana sio lazima uchangie unaikwepa
 
Vipi sasa kuhusu michezo aliyoifata kwa mwarabu? Mnacheza au umemuachisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…