Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

mwanamke akikusaliti achana nae mara moja , kwa usalama wake na usalama wako pia.
 
Pole sana bro,je upo tayari kusamehe na kuendelea kuwa nae hapo nyumbani?kama haiwezekani,mrudishe kwao tu
 
Unajiongelea wewe kama wewe na moyo wako na yes una
maamuzi yoyote juu ya maisha yako. Binadamu tumetofautiana usilazimishe kila mmoja aishi maisha yako!
tupo wngi mkuu , sema kuna wavulana wanawafariji shukuruni Mungu , vivulana ni vingi.
 
Usimdhuru, atakuharibia maisha kuliko ilivyo sasa.

Angalia moyo wako kama uko tayari kumsamehe na kuyabeba hayo Kama haupo tayari mwache aende maana pia kama utaendelea nae, mtaishi kwenye ndoa yenye ugomvi wa kila siku kwa kudhani bado anaendelea na ujinga wake hata kama atakua ameacha kweli.
 
Nyuzi za hivi, sababu mnajua Ndio mnayoyafanya Kwa wapenzi na wanaume zenu !!


Huwa hamchangiii, mnajifanya kua neutral utasikia Wanawake wa JF mnasemaje


[emoji117]nasoma Komenti tuuu

[emoji117]Duuuuuuu

[emoji117]Komenti ziwe fupifupi
Fact[emoji1666]
 
Wanawake ni nini hii sasa , mengine ni kutiana aibu.

Hivi wengine tuliumbwa na kasoro ipi, mbona huo upuuzi haupo.

Haya, hapo mtaani mtaishije ?

Ungemwacha ajichinje bladefaken huyo
 
Sa mbona hiyo kawaida sana mkuu,kucheat ni kawaida tu sku hizi we achana naye..endelea tu kuishi naye ila fanya mambo yako naye afanye yake akijiskia kuondoka ataondoka,USIJE KUMGUSA USIJE KUPATA KESI BURE
 
Mke wangu kunisaliti sina excuse kwake maana kaniona boya sina akili, ( mjinga) Nikimsamehe itakuwa kinafiki tu tena kwa makusudi maalum.
 
Ni sawa sawa na kusema nimeshika Kaa la moto linaniunguza, sijui ni fanyaje!
 
Bado maamuzi unayo Cha msingi huyo Bibi usimwache hivi hivi ,jino kwa jino
 
Kumwacha ajiue unashindwa nini toka lini wanaojiua wakatangaza huyo komediani tu.
 
Wanawake ni nini hii sasa , mengine ni kutiana aibu.

Hivi wengine tuliumbwa na kasoro ipi, mbona huo upuuzi haupo.

Haya, hapo mtaani mtaishije ?

Ungemwacha ajichinje bladefaken huyo
Jamaa angefungwa
 
Wanawake ni nini hii sasa , mengine ni kutiana aibu.

Hivi wengine tuliumbwa na kasoro ipi, mbona huo upuuzi haupo.

Haya, hapo mtaani mtaishije ?

Ungemwacha ajichinje bladefaken huyo
Hapa nimekusoma mama lake
 
Yaani kuna watu wana mambo ya ajabu sana!?yaani kweli kabisa anajiuliza et hajui afanye nn!?hatari sana.kwakweli jamaa mwenyewe hajitambui ndio maana alikua anachapiwa!
Inaitwa panic disorder yaani unakuwa hata akili haifanyi kazi ashukuru hajamzima kabisa kaomba ushauri na tumemshauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…