Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,417
Reaction score
862
Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa

1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa

Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
 
mnunulie tu mbwa kwa akili zao hao anaweza,akabadili maamuzi akaamishia mapenzi kwa mwanaume mwenzako hapo atakuambia anapenda ila ni maumivu tu
 
Kwakua umeuliza bei najua utamnunulia tu.

Kasikilize wimbo wa akitakacho binti wa O ten na Linex.
 
Back
Top Bottom