madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
Naaam mkuuHivi vijibwa wakati mwingine vinafanya mapenzi na binadamu.Kuwa makini kwa uamuzi wowote.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Hivi vijibwa wakati mwingine vinafanya mapenzi na binadamu.Kuwa makini kwa uamuzi wowote.
Yaani nilivyokuwa na hasira ndio maana sikutaka hata kumuuliza jirani asije akaona nampa ushirikiano ndio maana nimeileta kesi huku mkuuAisee
Watu wana wivu, Ko Jirani akinunua paka nae ataka...
Muulize basi jirani bei ya kijibwa naamini atakuambia mkuu
Mmh haya mkuu naona na wewe umeamua kuamsha dudeMm mwenyewe napenda sana mbwa wa kufugwa hasa hasa wa kizunguuu, napenda mnoo kufuga fuga
Duuuh kuna kajiukweli ndani yakemnunulie tu mbwa kwa akili zao hao anaweza,akabadili maamuzi akaamishia mapenzi kwa mwanaume mwenzako hapo atakuambia anapenda ila ni maumivu tu
SawaKwakua umeuliza bei najua utamnunulia tu.
Kasikilize wimbo wa akitakacho binti wa O ten na Linex.
Haiwezi kuwa hivyohivi kila kitu ukiambiwa ufanye kisa jirani kafanya utafanya ??
kuwa makini na jirani yako
Sasa hii ndio hatari nimetafuta nyingi nasaba sasa napata......Anataka kijibwa hua vinazama chumvini kaka.
Nasita kidogo mkuuWaooo yaani napenda mbwa hasa wale wa kizungu,mnunulie tu bhana usiwe mchoyo kwa mkeo