Stein pa stein
Member
- May 29, 2020
- 11
- 54
Atakuwa alichepuka na ameambukizwa ugonjwa. Pole sana maana unakula bacteria.Nimekaa naye kwa takribani miaka 12 sasa, ni msafi sana na sijawahi hisi harufu hiyo. Nikawa hadi napiga deki kuenjoy papuch sijawahi fanya hivi kwa mwanamke yeyote...
Mh wewe unanawia vinegar pia?Maji lita 3 achanganye na apple vinegar anawie/kuchangia kila akienda chooni, aende pia hospitali akapime if inaendelea na utoko unaotoka sio wa kawaid
Mkuu umezitumia kimasihara mpaka umejua na dawa za kuweka mazingira pw[emoji28]Kama ni harufu tu bila muwasho...wala kutoka uchafu mweupe ule kama ugali nenda famasi kanunue dawa inaitwaa AMOXCLAV 625.
hii dawa ni best sana sema namna watanzania tunavyopenda kutumia dawa hovyo bira kufuata ushauri na mashart punde hii dawa itapoteza makari yakeMkuu umezitumia kimasihara mpaka umejua na dawa za kuweka mazingira pw[emoji28]
Itapoteza makali yake sababu watumiaji ni wengi ama itapoteza makali yake sababu gani mkuu??hii dawa ni best sana sema namna watanzania tunavyopenda kutumia dawa hovyo bira kufuata ushauri na mashart punde hii dawa itapoteza makari yake
Kama anatoa uchafu mweupe atumie dawa gani?Kama ni harufu tu bila muwasho...wala kutoka uchafu mweupe ule kama ugali nenda famasi kanunue dawa inaitwaa AMOXCLAV 625.
Kumbe sio kuwala tu kimasihara wajua tiba piaKama ni harufu tu bila muwasho...wala kutoka uchafu mweupe ule kama ugali nenda famasi kanunue dawa inaitwaa AMOXCLAV 625.
Ni Njia nzur na inasaidia ila matokeo yake ataanza kusumbuliwa na UTI na fangasi zisizokomaMaji lita 3 achanganye na apple vinegar anawie/kuchangia kila akienda chooni, aende pia hospitali akapime if inaendelea na utoko unaotoka sio wa kawaid