Mke wangu amepata tatizo la kutoa harufu ukeni


Suala la harufu kwenye njia ya uzazi kwa akina mama inategemea na mambo mengi na hii hutegemea na aina ya harufu inayotokea na rangi ya ute anaoupata muhusika kwa wakati husika.

Harufu hizo ni:
1: harufu ya shombo
2: Harufu mbaya, ambayo hata muhusika huichukia kwani huwa inamkwaza sana.

Kunahitajika kuchukua vyema historia ya muhusika LAKINI hii itategemea na aina ya harufu iliyopo.

Mambo muhimu ni:
1: Anavyojisafisha
2: Matumizi ya sabuni au chemikali wakati wa kujisajisha.
3: Aina ya taulo za kike anazotumia
4: Mahusiano
5: Rangi ya ute na mchanganyiko wa vitu mbalimbali vinavyoonekana ndani yake.

Kama uko sehemu ambayo unaweza kumpata daktari wa magonjwa ya akina mama ni vyema zaidi.
 
Si lazima awe amechepuka, na marannyingi inatokea bila kuchepuka ndiyo maana hili tatizi halipo kwenye magonjwa ya zinaa.

Huwa nu bacterial vaginosis kama anatoa harufu za ajabu au ni Trichomoniasis kama ananuka kisamaki. Dawa yake nu flagly.

1: Fishy smell: bacteria vaginosis
3: Foul smell: Trichominas vs Chlamydia
3: No smell: fungal vs over-irritation of glands.

NB: Something features can dictated mixed infections.
 
1: Fishy smell: bacteria vaginosis
3: Foul smell: Trichominas vs Chlamydia
3: No smell: fungal vs over-irritation of glands.

NB: Something features can dictated mixed infections.
Fishy smell ni symptom kubwa ya kutambua Trichomoniasis. Chlamydia hainaga harufu. Bacterial vaginosis sababu inasababishwa na mabacteria wa aina nyingi huwa haina harufu ya kueleweka.
 
Maji lita 3 achanganye na apple vinegar anawie/kuchangia kila akienda chooni, aende pia hospitali akapime if inaendelea na utoko unaotoka sio wa kawaid

K haioshwi na chochote isipokua maji safi na salama… no sabuni no vidole humo ndani imeumbiwa kujisafisha… harufu yoyote hyo ni infection aende hospital
 
Fishy smell ni symptom kubwa ya kutambua Trichomoniasis. Chlamydia hainaga harufu. Bacterial vaginosis sababu inasababishwa na mabacteria wa aina nyingi huwa haina harufu ya kueleweka.




NB: When your doing syndomic treatment due to vaginal discharge you cover both Trichomona vaginalis, Chlamydia and Gonococcal. Cause you can't rule them out without testing.
 
Peleka hospital uko.......uliambiwa hapa kuna Tiba ya vizazi ......boya nini wewe.......harafu huyo sio mke atakuwa changu Tu......hivi mke kweli utaanza vipi kureta mapungufu yake hapa?? Daaa wavulana mmekuwa wengi .......
 
Angalia mitandao inayojielewa kama CDC au vitabu. Si rahisi kutofautisha Chlamydia na Gono. Lakini hayo yote unaweza tofautisha na Trichomona vaginalis na BV. Rangi ya dicharge, harufu na aina ya hiyo harufu vinavitofautisha.

Hizi hapa symptoms za TV kutoka CDC.
 
Nakushauri utumie bidhaa moja toka Malaysia inaitwa Vaginne, haina chemicals bali ina virutubisho vya asili. Kazi yako ni kutoa harufu ukeni, kuondoa bacteria wabaya kwenye uke, kubance ph, kulainisha uke ambao una ukavu, kufanya K iwe tight, kuondoa maumivu wakati wa hedhi, kukinga na kuondoa fibroids n. k.
Your browser is not able to display this video.


Nitafute kwa 0744 878928 nikuelekeze namna ya kuipata hii bidhaa muhimu kwa akina mama wote
 

Attachments

  • VID-20220511-WA0044.mp4
    11.5 MB

Huko ndo umekuta Bacteria vaginosis haina smell cause ni mixed infections?



Chlamydia


Issue za reference all of these are very reputable.

NB: Kumbuka si kila mara utakuta ni purely a single issue, unaweza kukuta mixed issue. History, color, examination and lab also has another value. Ndo maana nimekwambia unapokosa vipimo na kufanya syndromic treatment think big.
 
Hakuna sehemu nimesema BV haina smell. Nimesema inasmell za ajabuajabu/sizizoeleweka sababu inasababishwa na mchanganyiko wa bakteria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…