Mke wangu amepata tatizo la michirizi. Ni mjamzito nini dawa ya haraka haraka?

Mke wangu amepata tatizo la michirizi. Ni mjamzito nini dawa ya haraka haraka?

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2022
Posts
1,178
Reaction score
1,596
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza, mama kijacho wangu ameanza kupata shida ya michirizi kiunoni na tumboni hivi karibuni.

Kwa mjuzi wa dawa tusaidiane katika hili tafadhali. Kabla sijafanya uamuzi wa kutafuta dawa pharmacy nimeona nije huenda nitapata ABC's humu.

Nb;
Picha haina uhusiano na uzi

2023-01-25%2008.20.13.jpg
 
Kama picha haina uhusiano kwanini umeiweka?

Wanasemaga once unapojua u mjamzito, inabidi uanze tumia bio oil.
Na michirizi kwa mjamzito ni unkwepable…
Pia wanasema asijikune ‘inaepusha michirizi.

kama upo Dar check na Hornet chap
 
Bio oil niliona mke wangu akitumia, ilipunguza athari ya stretch marks.
Japo mi binafsi naipenda hiyo michirizi nikiiona hasa sehemu za mapaja na makalio hunisisimua.
 
Kama picha haina uhusiano kwanini umeiweka?

Wanasemaga once unapojua u mjamzito, inabidi uanze tumia bio oil.
Na michirizi kwa mjamzito ni unkwepable…
Pia wanasema asijikune ‘inaepusha michirizi.

kama upo Dar check na Hornet chap
Mkuu hizi Bio oil Naweza kupata picha yake?
 
Wengine mbona wanapenda wake zao wawe na stretch marks . Ukishika hv kama unapiga kinanda
 
Back
Top Bottom