kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Mkuu hizi Bio oil Naweza kupata picha yake?Kama picha haina uhusiano kwanini umeiweka?
Wanasemaga once unapojua u mjamzito, inabidi uanze tumia bio oil.
Na michirizi kwa mjamzito ni unkwepable…
Pia wanasema asijikune ‘inaepusha michirizi.
kama upo Dar check na Hornet chap
Mkuu hizi Bio oil Naweza kupata picha yake?