Allan Rwego
Member
- Jul 25, 2021
- 20
- 113
Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea.
Nikiri, nilimsumbua sana hata alipokuwa hajibu au anarudisha hela nilizokuwa namtumia. Ila humu ndani kuna ushauri wa kila aina kuna wengine wanweza kukufanya ukaharibu kabisa.
Member mmoja alinishauri niendelee kumtafuta na nilipambana mno kumtafuta
Jana nimewachukua nyumbani kwao rasmi. Leo nimeamka mapema kuwaandalia breakfast baada ya kumchosha sanaa waifu na game zitooo la kulikosa karibu mwezi mzima. Watoto wangu leo nina mipango nao kama yote mazee. Shukran
Lesson:
1. Kama kichwa nitailinda hii familia kama kichwa kwelikweli. Na nyie washauri wa ajabu sijui nikome aniache, hajaniacha sasa.
2. Mkikoseana sameaneni ni heri shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua na ulieanza nae maliza nae.
Pia soma: Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?