Mke wangu amerudi nyumbani

Mkuu ungepima afya kwanza,usingepiga peku peku.

Mwezi mmoja ni mwingi Sana kukaa mbali na mwanamke tena mkiwa mna ugomvi.
 
Ulifanya busara sana ...
 
Wewe una matatizo
 
Hahaaaaa, umempiga 👊 ya 👃
 
Eipuke sana zinaa endapo ndo ilihatarisha ndoa yako. Binadamu hasahau hata akisamehe na mara nyingi akipata nafasi akili yake humwambia hata mwenzako alishawahi kukusaliti.

Hii iliwatokea marafiki zangu wawili miaka ya nyuma..
Mmoja mke alienda kwa mdhamini wa ndoa na mwingine alikuja kwa wazazi wangu maana mm ni rafiki wa karibu wa mume wake na wazazi wa mume walikuwa mbali. Wote hawakwenda kwao.

Wote ndoa zao zipo imara sasa lakini kuna nyakati wake zao hukumbushia yaliyotokea. Inakuwa kama kovu flani ambalo mkeo akipata wa kumdanganya analiangalia kovu na kama ni dhaifu basi anajipa uhalali sababu anakovu linalomwuliza we mumeo ni mwaminifu?

Kuna mke wa mmoja alishawahi onekana akitumika nikaletewa taarifa ila nilishindwa kumweleza mshkaji na mpaka sasa ndoa yao ipo sawa.
 
Hongera kwa bonge la gemu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Heri yako 🙇🙇
 

Siyo lazima umalize na ulieanza nae kijana, kuwa makini.
Naona umemuandalia na chai kabisa, Basi sawa.
 
Naungana na mtoa mada hii, hata wengine hawajui maana ya kuwa kichwa kwenye familia, wanafikiri ni ubabe tu na mwanamke ni ndiyo tu.

Jifunze kujua msaidizi kwenye ndoa ina maana.
Umefanya jambo la maana sana, mpende mke wako na mheshimu na umsikilize.

Ndoa nyingi zilizodumu zina utaratibu wa kusikilizana na kuonyana
 
Kabisa..ujue watu wengi sana wanatafuta wife material lakini hata wao si husband materials.

Sa mtu ukute ana matabia yake huko hataki kukua, kubadilika anataka mke mwenye vigezo vizuri wapi na wapi???
Tengeneza maisha yako mwanadamu wewe kama mwanaume, baba mtarajiwa, mume anayekuja kuwa....then God anakupa wife material hivo yani....

Lakini tukiendelea kukaza mafuvu yetu tusitake kubadilika, eti misimamo hahahahaa....chuya tu, vumbi.......
Be a good man, get a good wife have a good marriage yenye kujengana na kuishi vizuri...

#blessyouall#
 
Mkuu naomba unisaidie kujibu haya maswali namimi nijifunze:-


Umejuaje Mwanamke hampendi Mzazi mwenzie?

Una uhakika huyo Mke wake alichakatwa mwezi mzima huu?

Umejuaje alirudi kwaajili tu ya Watoto na sio alimmiss mwenzie

Wewe kama Baba, ungefanya nini tofauti na huyu ambaye bado hajafaa kuwa baba?
 
Mwanamke ulisha zaa nae watoto wawil bado una hamu nae kwel tumeumbwa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…