Ushauri wenu unahitajika wadau, nilikuwa na kiti maalum mkoa tofauti na ninawasi, tulikuwa tumepeana nafasi na ni miaka kama nane tuko Pamoja ila juzi juzi wife aliiangalia cm yangu na kuamua kudeal nae mpaka akajua Kuna mahusiano ila hamjamjua.
Je nikiteme kiti maalum?
Je nimkoromee wife? Au nijifanye ----?