mke wangu ana mimba,nashindwa kukutana naye kimwili

subiri wazee wa tanroads wakupanulie njia...kiumbe mpya apite salama
 
Unaweza kushiriki tendo la ndoa na mke wako mpaka mimba ifike mwezi wa 7-8 kutegemea na afya yake,kuna wengine hufanya mpaka anapoanza mwezi wa tisa,haina madhara yoyote usimlalie juu tu.
 
Jamani msimcheke sana huyu jamaa, unajua kama watu wamehangaika kwa mda mrefu kupata mimba katika ndoa huwa wana hofu sana ya kuiharibu mimba pale Mungu anapowajalia. Lakini nadhani mmempa ushauri murua.
 
Imenibid nicheke tu eti anaogopa, mbona hakuogopa kumpa mimba
 
Kuna sredi nyingi nilishaona humu zinazotoa elimu namna ya kushiriki na mke mjamwepesi... zitafute

Otherwise, majirani watakusaidia kuweka masikio na kucha
 
mlivyomshambulia dhu! na nyie midume inabidi muwe na mafunzo kabla ya ndoa.
 
Tena akiwa na mimba inabidi uongeze dozi ili kupanuia njia
 
Au unaogopa una mzigo mzito nini? mbona style ni nyingi tu! kwani mkeo huwa ana matatizo mimba huwa zinatoka sana?kama ndio usifanye ila kama hana tatizo wewe endeleza tu.tena changa hata foki cha ndeme unafanya tu

Mh gaga, style zingine utampoteza mwenzio.
 

Tabutupu bwana, mawazo yako saingine hua yana akili, ujue hata mi nimewaza jambo hili. Jamaa shida yake watu wamshauri akapige niaje nje, sasa imekua tofauti tumemgomea katakata. Dizaini anataka kuyumbisha watu humu.
 
Mimba mwezi mmoja unaogopa?? Sasa huyo mtoto atakuaje bila virutubisho?? Au mkeo mgonjwa amepewa bed rest ya mpaka ajifungue?? Wewe watu wanapiga mzigo mpaka siku ya kujifungua wewe unaogopa just one month???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…