Mkuu, Wacha kulialia, tafuta mdada wa kaziIvi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!!
Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi.
Mara ajitapishe mara aseme anasikia kizunguzungu mara agome kula.
Yaani ni kama wiki mbili sasa lakini nimeshanyooka.
Game nanyimwa kwa kisingizio kuwa anajisikia vibaya
Ni kweli inakuwa ivi sometimes au ndio nanyooshwa!!?
Hii ndio solutionMkuu,
Wacha kulialia, tafuta mdada wa kazi
Ila hamjui tu Mkuu tukiwahangaishaga na hivyo vikapu mara nyingi tunatoaga copy zenu.Just do it .
Nimeenda Sana sokoni na Vikapu nimebeba .
Komaa mwanaume.
😂😂😂Vumilia tu Mkuu. Na hapo hajaanza kutamani chipsi zinazouzwa masafa ya mbali. 😅😅
Yes mkuu huyu kiumbe nafanana nae Hadi kucha .. mpaka ukorofi usioumiza , ..Ila hamjui tu Mkuu tukiwahangaishaga na hivyo vikapu mara nyingi tunatoaga copy zenu.
Umeonaee! Na saa ingine waeza dhania anaijifanyisha kumbe walaa.😂😂😂
Nimenunua Sana miguu ya kuku.
Kuna sehemu huku wanaita vilabuni kuna kuku wanapikwa kiswahili swahili hao ndo alikuwa akihitaji , ukinunua kuku apikwe vizuri Hali anasema wale wa uswahilini ndo wazuri.
Ni adventure ya kukumbuka Sana na bado inaendelea kwenye malezi .. the day namwona Mwanangu for the first time I shed tears of joy .. kama dk kumi hv , nilimpigia mama , Bibi , Dada kaka .. damn ... A Sunday to remember
Na bado miezi 8, ikifika mitatu atataka akijisaidie uwe unamtawaza pia.Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!!
Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia kizunguzungu mara agome kula.
Yaani ni kama wiki mbili sasa lakini nimeshanyooka. Game nanyimwa kwa kisingizio kuwa anajisikia vibaya
Ni kweli inakuwa ivi sometimes au ndio nanyooshwa!!?
Ndo inakuwaga hivyo Mkuu according to my experience.Yes mkuu huyu kiumbe nafanana nae Hadi kucha .. mpaka ukorofi usioumiza , ..
Mungu awape Maisha marefu kina mama .
Nawapenda❤️❤️❤️
Alafu pia ni namna ya kutengeneza strong bond btn mke na mume .. pia mzazi na mtoto.Vumilia tu Mkuu sababu sidhani kama anapenda kuwa hivyo.
Na hapo hajaanza kutamani chipsi zinazouzwa masafa ya mbali.
Yes avumilie mkuu mimi , pasaka nilifukuzwa ndani , nlichukua vitu vyangu nkasepa .. two days later napigiwa simu Rudi nyumbani ukwapi ... Nimefanya shughuli nyingi Sana mwanzoni niliona kero ila nashukuru Nilikuwa karibu sana na mama yangu kupitia simu kanitia moyo Sana .. na miezi tisa ikatimia.Umeonaee! Na saa ingine waeza dhania anaijifanyisha kumbe walaa.
Hivi vitu ni vya kupita tu hivyo ambavyo mwishowe huwa na furaha ya ajabu. Nadhani huyo Mkuu avumilie tu miezi tisa si mingi.