Mke wangu ana.....

blanketyy

Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
31
Reaction score
13
Jamani kwema?
My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo, ila je kuna namna ya kupunguza makali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MPELEKE HOSPITALI HARAKA SI KILA MAUMIVU KATIKA UJAUZITO NI VITU VYA KAWAIDA.
NB: KUUMWA NA KICHWA NI DALILI AU TAARIFA KUWA KUNA TATIZO MWILINI!
 
Kupunguza makali hapo nawashauri mkaifamyie abortion tu hamna namna
 
Kamwoneni daktari..me nahisi yaweza kuwa ni HYPEREMESIS GRAVIDARUM..Google hicho kitu ukisome then umwangalie km anahizo dalili lkn kesho mpeleke hospitali..

Ugiligili
 
nenda hospital plz ,,
Ingawa kuanzia wik ya 10 had ya 20 uwa inatokea tatizo la kutapika kwa wanawake wajawazito kwa kitaalam "hyperemesis gravidurum" ,,
Icho kichwa nacho aende hospital kwa uchunguz wa vipimo na vitals pia ""

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mjamzito hatakiwi kuumwa na tumbo ni dalili mbaya especially mimba inapokuwa changa.

Kutapika inaweza kuwa kawaida kutokana na hormonal changes.

Kichwa kuuma pia si kawaida kwa mjamzito.

Umepewa ushauri hapo juu muone daktari Fanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…