Safi sana.Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi
Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣
Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti
Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna
Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii
Analo?Au kama vipi akikusogelea mshike tako.
Litakuwepo kweli?Au kama vipi akikusogelea mshike tako.
Tuwekee picha basi tuone hizo fito na kwato zake.Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi
Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣
Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti
Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna
Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii
Nchi ngumu sana hii asee!!Wewe na Mkeo,wote mmekutana Pipa na Mfuniko.
Sasa hayo ndio mapenzi..na mtadumuMke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi
Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza akamwambia kinachokufanya usile ni nini na una mawazo gani au una minyoo🤣🤣🤣
Mimi nilimsikia mama yake akimgombeza nikacheka eti akanikasirikia hata jumuiya hajaenda nikamwomna msamaha nikamletea mishikaki 6 ya ng'ombe anayopendaga na juice hajanywa eti
Leo akaniambia mimi ni Kubwa lakini Jinga kuzidi mtoto wa nursery, Lakini sijanuna
Nikamwambia kwnn hujaenda jumuiya akasema hajiskii
Ipo jukwaa la siasa mwee , unakaaje na stress mda woteTutapata Reforms kweli kwa mwendo huu?
Ukimla unakula mifupa tu.Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi