Mke wangu anachekesha kweli kwa kununa

Ni kweli unajua haituhusu ila umetuhadithia hivyo hivyo tu... Ilimradi tu yani...🤣🤣.

Anyway, hongereni mkuu.
 
Betina njoo huku wanakusema!
 
Kuna lugha ya kutumia unapotaka kutoa kasoro ya mwenzako,hiyo lugha uliyoitumia kwake,ana haki ya kukwambia wewe ni kubwa ila ni mjinga.
Mimi ameniambia hivyo leo mara ya pili lakini sijamnunia mpaka sasahivi

Sasahivi anajifanya kulala tu muda wote, sasa ni usingizi gani huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…